Friday, June 16, 2017
MAGUFULI ANAPULIZA NA KUVUTA JUU YA MAKINIKA (Is politicising the matter in regards to ACACIA Scandal): ANATAKA WAHUSIKA WADOGO WASHUGHULIKIWE SIO JK & BEN AMBAO NDIO MAPAPA
Watu wengi wamepongeza jpm kwa kazi nzuri juu ya uchotwaji wa madini nchi hii uliosababushwa na sheria zilizopitishwa gizani na serikali ya Ben Mkapa na baadae jk.
Personally I doubt the so called honest undertaking by this guy, ni kweli hatua zinafaaa kuchukuliwa na ziwe kwa wote waliohusika as principals (king markers)
ninashindwa kuelewa nia ya dhati kusafisha uovu huu wakati. Kwanza yafaa kutambua wezi wetu ni akina nani, ni waliosign mikataba ya kijinga na kupitisha sheria gizani.
1. Bunge linaendeshwa Gizani
2. anapofukuza wafanyakazi wenye vyeti feki na kuwaacha maswahiba
3. Waliohoji PhD yake badala ya kupewa majibu ni kupotezwa na wengine kusakwa na vyombo vya dola (jamii forum case)
4. Kumwelekeza spika kuwaziba midomo wabunge wanaohoji mienendo ya serikali yake
5. kutishia uhuru wa wanahabari na haki habari
6. kupiga marufuku haki ya vyama vya siasa ya kujumuika
7. kuhisi kuwa yeye ni Mungu asihojiwe.
8. Kukataa uwepo wa katiba itakayotibua maovu ya viongozi wa umma
9. Mienendo yanayoshabiahiana na ya kijerumani robo ya pili ya karne ya ishirini
kama kweli kuna nia njema ya kusafisha maovu awachunguze
a/ mawaziri wa nishati wote since jk 1994 with the IPTL
b/ wanasheria wakuu wa serikali from 1994-2017
c/ Mwinyi, mkapa na jk
najua watadai they are immuned
but hata marufuku ya siasa is not in accordance with the law
Turudi ya acacia
Wanasema ACACIA IS NOT REGISTERED
Swali ni je
1. polisi wetu walikuwa wapi wakati acacia wanachimba na kusafirisha mchanga?
2. polisi wa waliokuwa wakisaidia ulinzi wa mgodi wa walitumwa na nani?
IGP kwa nini asikamatwe kwa kusaidia makampuni yasiyo na usajili?
3. serikali inamiliki HISA acacia swali ni je serikali yetu kwa nini haikulazimisha registration wakati ni mwana hisa? maana yake kila asilimia 100 ya wizi wa makinika 5% ilifanyika na serikali yetu
4. watu wa bandarini wanaponaje?
5. kamati ya Bunge ya nishati tuelewe nini?
6. usalama wa taifa hawakuona huo mgodi miaka nenda rudi?
7. TRA hawakuona chochote wakati wakilipa kodi?
au kwa sababu sifa ya wabunge wetu ni kujua kusoma na kuandika wakahisi RAIA ni mbumbumbu kabisa
hii ya makinika kama kuna cha maana kilichofanyika ni kuwaambia umma mnaibiwa. Solution ni kujenga mfumo unaoleta confidence. jpm isn't building anything rather destructing.
huwezi sema washughulikiwe waliotumwa kusaign na sio waliotuma na muda huo unamwambia spika wanaodai mikataba iwe wazi na yajadiliwe Bungeni na wahusika wote bila kujali vyeo washughulimiwe wazuiwe na spika wasihoji bungeni na wakiwa wabishi waondolewe yeye ashughulikie nje. He isn't principled, you can't conspire against your own people then useme una nia njema
kuna watu wamekuja na ujinga kuwa wanaokosoa modalities in place are suffering from ODD tusubiri that (ODD) that we don't even need its medications. nadhani kutoka budget ya Trilioni 31 mwakani wakiongeza malipo ya Acacia 188 Trillion itakuwa Triloni 220
ukijumlisha mapato yatakayoongezeka
mwakani watasoma budget ya Trillion 230.
Nadhani the so called poverty, ignorance, corruption, decease (including ODD), unemployment will remain history, tutasema hapo zamani za kale tulikuwa ulimwengu wa Tatu. tutajenga viwanda na kutoa misaada nje.
then we will think of treating the ODD.
but of now say it its ODD that's had borrowed from Kitila without and misused without acknowledging or the like I am too adamant to change.
Uzalendo sio kumuunga rais kwa kila anachojifanya bali kuunga mkono ukweli (Roosevelt)
Hiyo Tirlioni 188 tutasikilizia kwenye bomba. hata akiwa na mmiliki wa Barick wakati akiongea kiswahili alikuwa mkali ila alivyo switch kingereza akawa non partisa. can we believe on the rhetorics? dearly we cant, ni dhambi kujidanganya. tukiamini huo ni ukweli sometimes in future tutakuta huo sio ukweli.
sijasema wizi haujafanyika in fact ulifanyika na bado unafanyika and the undertaking to carb the situation is too minimal. ACACIA are the bussiness entities wezi ni waliokubali kusign for the best interest known to them ila leo wanasema wasiulizwe wapumzike. Huwezi kuwa na mwizi wa miaka 19 anakuja na bonge la private jet mnakubaliana kukubaliana to negotiate na kuwaita really men kwa lipi? huku waliosign wakikingiwa kifua na tunaemtukuza kuwa anatenda. Is it another episod? kalianzisha na kuimaliza yeye mwenyewe.
Kuna tatizo kubwa sana juu ya hiyo issue ya madini but the guys in the regime are politicising it.
mosi tunaowaita watukufu walikuwa mawaziri wakati hiyo mikataba ikiingiwa, they had an avenue to advice them kama cabinet "sijui kama walishauri hawakusikilizwa"
ni ukweli usiyopingika kuwa the Bulyanhulu, Nzega......... Goldmine aliesaign ni jk kama waziri na leo Mawiyo wamefungiwa kwa kumhusisha na hiyo mikataba hiyo nia iko wapi? Ben alikuwa in charge wakati mikataba tunayoambiwa ni mibovu yakiingiwa na wakati mwingine watu walipohoji kuwa mikataba ni ya ovyo akasema they are misusing the education they have. hata kama ana kinga ya kutokushtakiwa ana kinga ya kutokusemwa kwa madudu aliyoyafanya? hiyo nia ya kuokoa uchumi wetu iko wapi?
sasa wengine washtakiwe kwa makosa gani wakati waliowatuma wanakingiwa? huo sio ubaguzi? is that not politicasion of the matter?
Kwa nini waogope kuambiwa ukweli?
akina chenge ni kuonewa tu kama wahusika wakuu hawataulizwa hata sababu ijulikane kwa nini waliamua kutenda hayo.
tumeambiwa the two guys wametumikia nchi hii kwa uaminifu waachwe wapumzike...... uaminifu upi wakati yeye mwenyewe anasema tumeibiwa mno?
tumeambiwa that ACACIA isn't registered na walivuna madini kwa miaka 19 unaongea nini na jambazi? mbona mawio hawakuongea nayo kabla ya kuwafungia? yahitaji uwe na moyo mkubwa sana kuamini kinachosemwa.
I am not a saint nor any of the jewish prophet may be Trillion 188 tutalipwa tusubiri mwakani watangaze budget ya Trilioni 230 but I am quite adamant to believe on rhetoric, kuna muda kuwa Tomaso is the best choice
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment